Msimu huu Lipuli lazima tubebe kombe la FA
“Wanasema ukishindwa kujipanga basi umejipanga kushindwa, sisi tumejipanga kushinda kabisa msimu huu.
“Wanasema ukishindwa kujipanga basi umejipanga kushindwa, sisi tumejipanga kushinda kabisa msimu huu.
Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
Winga huyo amewahi kuchezea timu ya vijana ya Simba sc hapo kabla, na amekuwa nguzo muhimu katika kampeni ya Ligi Kuu msimu uliopita kwa upande wa Lipuli Fc.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Azam Fc itawakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Shirikisho Afrika
Ratiba ambayo sio rafiki kwa upande wa Lipuli FC imebidi wafanye hivi ili kuipa umuhimu fainali yao itakayowapa tiketi ya kuwakilisha Tanzania katika michuano ya Afrika.
Miraj Athuman, jezi namba 7 miongoni mwa namba maarufu duniani, ndiyo anayoivaa akiwa katika klabu yake ya Lipuli Fc.
Magoli ya Lipuli yalifungwa na Paul Nonga na mshambuliaji aliyeitwa kwa mara kwanza katika kikosi cha Stars, Miraj Athumani.
Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.
Deni hili kubwa kwa mshambuliaji wa Lipuli Fc, Paul Nonga, limewekwa katika moja ya mtaa mjini Shinyanga.