KMC Sasa Goli Moja Kununuliwa kwa Laki Tano.
Baada ya klabu ya KMC kupata goli katika kila michezo yake sasa goli moja litakua na thamani ya shilingi laki tano hivo watakua wanatumia kiasi hicho cha pesa kurudisha kwenye jami
Baada ya klabu ya KMC kupata goli katika kila michezo yake sasa goli moja litakua na thamani ya shilingi laki tano hivo watakua wanatumia kiasi hicho cha pesa kurudisha kwenye jami
Ahmad ameongeza kuwa katika mchezo wa kesho kama Timu inahitaji matokeo mazuri kutokana na kwamba KMC FC hapo kwenye nafasi nzuri na hivyo kuhitaji zaidi ushindi
Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.
“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
Panapo majaliwa tunakwenda kuangalia moja ya mchezo mgumu katika ratiba ya ligi kuu ya NBC kwa upande wa Wananchi.
Tunastahili kusimama na kumpigia makofi John Bocco.
Simba inaendelea na usajili kwa ajili ya kujiimalisha….Stori zaidi.
Baada ya kocha Hererimana Huruma kuwa muumini wa mfumo wa 4-4-2 huku Kocha msaidizi Habib Kondo akiwa muumini wa 4-3-3
Kupitia taarifa yake iliyotolewa na msemaji wake Cliford Marion Ndimbo imezitaka klabu zote kutokucheza mchezo wowote bila kutoa taarifa katika Shirikisho la Soka
Mchezo huo uliohudhuriwa na mashabiki wengi wa soka ulipigwa majira ya jioni huku ukishuhudiwa na vituko mbalimbali