Injinia Hersi Avunja Ukimwa Kuhusu Kocha Nabi Kuondoka
Yupo kwenye klabu ambayo tumemuwekea mazingira mazuri ya kufanikiwa na amefanya vizuri.
Yupo kwenye klabu ambayo tumemuwekea mazingira mazuri ya kufanikiwa na amefanya vizuri.
Mkataba wa Nabi na Yanga umemalizika huku viongozi wa Yanga wakikiri mkataba huo umemalizika na wapo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba Mtunisia huyo.
Kuondoka kwa Ngoma kutoka kwa mabingwa mara 29 wa Ligi Kuu ya Sudan kumeibua shauku kubwa kutoka kwa vilabu vya soka katika bara la Afrika
ipo tayari kutoa kiasi cha zaidi ya dola 500,000 za Kimarekani (zaidi ya bilioni 1.2 za Kitanzania) ili kupata saini ya nyota huyo wa Yanga
Anafuatilia PSL sana na anaona kuyumba kwa Chiefs. Ni wazi kwamba inamtia wasiwasi, na kama angepata nafasi ya kujiunga na timu nyingine isipokuwa Chiefs,
Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amebakisha mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Yanga huku ofa kibao zikimiminika Jangwani lakini kocha wake Nasraddine Nabi amesema atakapokwenda.
“Ndiyo, ninamfurahia sana kwa sababu mimi ndiye niliyemgundua kutoka AS Vita na kumleta kwenye timu. Bado mwaka mmoja kwenye mkataba wake umalizike
Chanzo hicho pia kilisema si tu Fiston anahitajika Afrika Kusini lakini pia kuna baadhi ya timu kutoka nchi za Kiarabu zimeonyesha nia ya kumtaka nyota huyo
Yanga ipo katika kuendelea kukisuka kikosi chake wakitaka kusajilo wachezaji wenye uzoefu zaidi ili kufanya vyema katika Ligi ya Mabingwa Afrika tofauti na ambavyo walitolewa mapema katika msimu huu.
Kwa hakika nimekua nikipokea ofa kutoka nchi mbalimbali Afrika wakimuulizia Mayele.