Kocha Simba: Tumecheza Vizuri Hatukustahili Sare
Katika mchezo huo ilishuhudia mshambuliaji wa Simba Jean Baleke akikosa mabao matatu
Katika mchezo huo ilishuhudia mshambuliaji wa Simba Jean Baleke akikosa mabao matatu
Stephane Aziz Ki amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Lakini kwa upande wa kocha Wydad alionekana kama kutokubaliana na maamuzi ya refa wa mchezo huo na atajiandaa na mchezo ujao ili ashinde na kusonga mbele hatua inayofuata.
Bado matumaini na macho ya Wanakandanda yanabaki wa washambuliaji wawili kutoka Congo Jean Baleke na Fiston Mayele. Hakika mchezo wa watani upo mikononi mwao kesho.
Pia kwa upande wa nyota Jean Baleke yeye amefanikiwa kuwafunga mabao matano katika michezo miwili mfululizo ndani ya siku nne
Vita ya Simba na Ihefu ni kama bado haijakwisha kwani siku tatu mbele yaani tarehe kumi watakutana tena mkoani Mbeya Mbarali
Simba sasa wameshafuzu kwenda robo fainali hivyo mchezo wa mwisho wa kundi lao dhidi ya Raja Casablanca ugenini utakua ni wakukamilisha ratiba.
Katika hatrick zote sita ni Jean Baleke ndio ameweka rekodi tofuati katika ufungaji wake mpaka sasa.
Goli la tatu Baleke alilifunga katika dakika ya 34 kwa kupata pasi ya kichwa kutoka kwa Shomary Kapombe baada ya kuunganisha mpira wa juu uliopigwa na Sadio Kanoute “Putin”.