Uongozi Yanga: Haturudii Wachezaji, Ni Wakati wa Mafanikio kwa Timu Zote
Ile ahadi yetu iliyobaki kwa timu zetu nyingine sasa wakati wake ndio umefika na tunakuja kuendeleza furaha zaidi
Ile ahadi yetu iliyobaki kwa timu zetu nyingine sasa wakati wake ndio umefika na tunakuja kuendeleza furaha zaidi
Yupo kwenye klabu ambayo tumemuwekea mazingira mazuri ya kufanikiwa na amefanya vizuri.
Tunajivunjia mchezaji wetu kutakiwa na timu zote kubwa za Afrika. Ingeshangaza tufanye vizuri alafu isiwe kocha wala mchezaji wetu kutakiwa na timu nyingine
Tutahakikisha tunaweka juhudi sana katika kuleta ushindi kwa timu yetu
Rais huyo wa Yanga pia hakua na shida na Feisal na kusema wamempa machaguo ambayo yeye mwenyewe ataamua alifuate lipi ili aweze kuendelea kucheza soka.
Tulikuwa na mfadhili miaka michache iliyopita ambaye alihama na kuondoka nchini na klabu iliyumba kutokea hapo. Hatukuweza kulipa mishahara na tuliporomoka katika suala la mafanikio na kupataka matokeo mabaya
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Wananchi wana kila sababu yakuandika historia mpya yakutinga nusu fainali ya michuano ya Shirkisho Afrika kutokana na kikosi walichonacho lakini pia faida ya kuanzia ugenini.
Pia Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limethibitisha michezo ya fainali kwa mashindano yote hiyo itafanyika katika mfumo wa nyumbani na ugenini kama ambavyo awali ilikua ikifanyika tofauti na mwaka jana pekee ambapo mchezo wa fainali ulikua mmoja tu.