Nani kuziba pengo la Jonas Mkude?
Je tumtegemee swaiba wake Said Hamis Ndemla kupewa eneo la kati na kulitendea haki?
Je tumtegemee swaiba wake Said Hamis Ndemla kupewa eneo la kati na kulitendea haki?
Kocha wa timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi)….Stori zaidi.
Si tukio la kawaida sana katika soka lakini limejitokeza katika mechi ya Simba na Leopard. Chama alizozana na mwamuzi baada Mzamiru Yasin kumfanyia rafu mchezaji wa Leopard,
Katika magoli yote 12 ya Simba katika michuano hii, magoli 7 yamefungwa na washambuliaji ikiwa ni asilimia 58.3, na magoli 5 yametiwa kimyani na viungo, hii ni sawa na asilimia 41.7.
Simba sc ni kama imepata msaidizi wa Chama ndani ya uwanja.
Wakati natazama mechi ya mwisho ya Cesc Fabregas akiwa na uzi wa Chelsea kitu cha mwisho kuja katika akili yangu ni sura ya Haruna Niyonzima.
Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa leo tarehe….Stori zaidi.
Kiungo wa klabu ya Simba, Haruna Niyoñzima, ametemwa….Stori zaidi.
Ghafla nimeukumbuka usajili wa “NIYONZIMA” na “AJIB” Pengine….Stori zaidi.
Ni kama michezo ya kufuzu Afcon nchini Cameron….Stori zaidi.