Kinachokosekana kwa Niyonzima kipo kwa Carlinhos
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Waswahili hutumia neno “Gundu” kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Jana Yanga wametoka suluhu na Tanzania Prisons….Stori zaidi.
Dirisha dogo la usajili msimu huu lilifunguliwa na….Stori zaidi.
dhahili bila kificho kuwa Watanzania wanaupenda sana mpira kuliko nchi zingine. Niyonzima ameendelea kwa kusema kuwa mapenzi hayo ni vigumu sana kuyakuta kwa nchi nyingine za kiafrika.
Ibrahim Ajib na Haruna Niyonzima ni watu wengine ambao wanaweza kuifanya dunia izungumze lugha moja kama wakicheza pamoja.
Niyonzima ameonekana kuwa na kiwango kizuri baada ya kuwa anaanza katika kikosi cha Simba.
Hata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata