Haruna Moshi “Boban” amerudi!
Haruna Moshi msimu uliopita alikua akiitumikia Yanga chini ya Mwalim Zahera kabla ya msimu kuisha na Yanga kuamua kuachana nae lakini sasa amerudi kivingine tena VPL.
Haruna Moshi msimu uliopita alikua akiitumikia Yanga chini ya Mwalim Zahera kabla ya msimu kuisha na Yanga kuamua kuachana nae lakini sasa amerudi kivingine tena VPL.
Unakumbuka enzi za Boban? Alijua kupiga pasi vizuri, alijua kutengeneza nafasi za kufunga magoli vizuri. Alijua kufunga pia magoli. Alijua kuupaka rangi ya kila aina mpira.
Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
Haruna Moshi Shaaban almaarufu kama “Boban” ni yuleyule….Stori zaidi.
Baada ya Ligi kusimama kupisha michezo ya timu….Stori zaidi.
Haruna Moshi ” Boban” ni jina ambalo lilipata….Stori zaidi.