Geita ambayo kwa mara ya kwanza imecheza Ligi Kuu msimu uliomalizima na kukata tiketi ya kwenda katika michuano ya Kimataifa imedhamiria kufanya vyema katika michuano hiyo kwa kusajili wachezaji wazoefu.
Binafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
Shughuli ipo kwenye nafasi ya tatu na ya nne ambayo inawaniwa na Azam na wao Geita ya Minziro ili kuwa na uhakika wa kuwakilisha kimataifa.
Kama kuna klabu yoyote inayoongea na Mpole kwasasa ili kutaka kumsajili wanafanya makosa kisheria kwasababu Mpole ana mkataba.
juhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.
Miongoni mwa mechi atakazozikosa Nabi ni pamoja na mchezo wa Watani wa Jadi utakaopigwa April 30
Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu.