Miquissone Aigomea Al Ahly, Azam Fc Yavamia Al Hilal
Nyota huyo yupo tayari kuachana na tim hiyo ili ajiunge na Simba huku pia akiwa ameshakataa kuongeza mkataba na Wacameroon hao
Nyota huyo yupo tayari kuachana na tim hiyo ili ajiunge na Simba huku pia akiwa ameshakataa kuongeza mkataba na Wacameroon hao
Hii itakuja kuwa faida kubwa sana kwa klabu kwakuwa hiki ndio kizazi ambacho kilipata “exposure” na “experience” zaidi kwenye historia ya Simba kuliko chochote.
Imebainika kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika keshokutwa
Tuanzie hapa , unakumbuka ile Simba ya Patrick….Stori zaidi.
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Kocha wa Simba Patrick Aussems amethibitisha kukosa huduma ya beki wake huyo.
Nyoni kuna funzo katupa jana kwa kiwango chake kazi kwetu kuamua kujifunza au kujifanya hatujaona kitu tukumbuke shukakumekucha.
Pengine kiwango hafifu alichokionyesha beki Paul Bukaba katika mchezo dhidi ya JS Saoura.
Simba sc kuelekea mchezo wa kesho itawakosa wachezaji wake kutokana na sababu mbalimbali.
Nyoni anaendelea na vipimo leo hapa Dar es Salaam na taarifa zaidi itatolewa kesho na Msemaji wa Klabu