Pia kwakumpanga Saidoo namba 10 halafu Chama winga moja na winga nyingine huanza Sakho, ambapo mara nyingi Chama huingia ndani na kumfanya Shomary Kapombe au Mohamed Hussein kupanda na kushambulia kwakutokea pembeni na hapa ndio tatizo lapili huonekana.
Mbio za kuwania Galacha wa mabao tayri zimeanza kwa kasi katika msimu huu.
Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc….Stori zaidi.
Lakini hebu tujiulize mwamba huyu wa Lusaka angecheza wapi katika kikosi hicho cha Yanga?
Mchezo huo utatupa majibu ni nani atakaekua mbabe zaidi ya mwenzake katika ufundi na kuisaidia timu yake kutoka katika eneo la katikati ya uwanja.
Simba inaendelea kujiimarisha kwaajli ya Ligi ya Mabingwa msimu pamoja na Ligi kuu. Huenda ikaleta sura mpya nane kutoka nje.
Kutokushinda tunzo ni jambo lingine, lakini kitendo tu cha kumudu kuwepo katika orodha ya viungo watatu bora wa klabu yake msimu uliopita ni ishara njema zaidi kwake kama ataendelea kujituma na kufuata maelekezo ya walimu wake.
Hata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Je Cleotus Chama ni wakutesa hapa hapaa tuu katika Ligi yetu?