Ndayiragije atoa sababu za kufungwa na Simba, awaita Chamazi.
‘…tumejiandaa vya kutosha dhidi ya Kenema, na tulikuwa tukiangalia afya za wachezaji waliokuwa wamepata majeraha kidogo na naona kama wengi wako vizuri na tunamshukuru Mungu kwani tutakuwa na kikosi kamili..’