Saa02Asb: Mashabiki Wengi Katika Mchezo Mmoja.
idadi rasmi ya tiketi za watazamaji zilizouzwa ni 173,850 lakini watazamaji walioingia uwanjani
idadi rasmi ya tiketi za watazamaji zilizouzwa ni 173,850 lakini watazamaji walioingia uwanjani
alifunga magoli hayo akiwa anazitumikia Santos Fc, New York Cosmos na timu ya Taifa ya Brazil.
Njia ya kuelekea Ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1950 ilikuwa ya aina yake.
Chini ya kocha Frank Rijkaard mwisho wa Ronaldinho ndani ya Barcelona haukuwa mzuri. Taratibu alianza kukosa namba, fununu
Hii ilikuwa ni Kombe la Dunia mwaka 1950, mechi ya Uruguay dhidi ya Brazil. Mechi ambayo iliamua mshindi hatua ya makundi.
Ukiangalia mafanikio ya Brazil kwenye kikosi chao cha mwaka 2002 kulikuwa na wachezaji 8 ambao majina yao yanaanza na R hivyo huwa tunaita kizazi cha “R”.
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Ni kama homa ya Kombe la dunia inazidi….Stori zaidi.
Ni mwezi mmoja tuu ukiwa umabaki kuelekea kombe….Stori zaidi.