Waandishi wa Michezo Walivyobeba Ndoo ya Betika Katika Sodo la Kutunza Mazingira
Zawadi zote hizo zilitolewa palepale katika viwanja vya Cocobeach mbele ya Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Songoro Mnyonge akiambatana na watendaji wa kampuni ya Betika pamoja na Afisa habari Juvenille Lugambwa.