TFF yaongeza waamuzi mechi ya Simba
Baada ya sintofahamu kutokana na maamuzi mbalimbali ya marefa wetu hapa nchini TFF imeamua kuongeza idadi ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Federation Cup.
Baada ya sintofahamu kutokana na maamuzi mbalimbali ya marefa wetu hapa nchini TFF imeamua kuongeza idadi ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Federation Cup.
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea jana katika miji….Stori zaidi.
Aliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye….Stori zaidi.
Kupitia taarifa yake iliyotolewa na msemaji wake Cliford Marion Ndimbo imezitaka klabu zote kutokucheza mchezo wowote bila kutoa taarifa katika Shirikisho la Soka
Ilimgharimu saa 23 njiani kabla ya kupqnda ndege ni saa nyingi ametumia njiani lakini ni jambo la kheri amefika.
Msimu wa ligi hapa nchini unarudi tena baada….Stori zaidi.
Katika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Tanzania ishawahi kubarikiwa washambuliaji wengi wazuri wa kati….Stori zaidi.
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.