Kola tishio jipya kwa Onyango na Inonga
Hazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
Hazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
Mchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
Azam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,
“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
Binafsi nilitaraji Dube anakwenda kurithi ufalme wa Meddie nikiamini yeye ni kijana zaidi na anaweza kuwepo kwenye ligi yetu kwa muda mrefu ujao
Sina uhakika kama Azam na Yanga wakutanapo ni derby au ni big match ama ni crucial match.
Mpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo wowote katika NBC Premier League huku akiwa ameshuka uwanjani mara 18.
Hatrick ya kwanza alifunga katika uwanja wa Nyamagana dhidi ya Alliance na Hatrick ya pili alifunga dhidi ya Singida Utd katika dimba la Chamanzi.
Kwa mujibu wa taratibu za shirikisho la mpira….Stori zaidi.