Nani bingwa wa ligi kuu 2018/19? Simba inazidi kusogea!
Nani kuibuka bingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/2019? Simba, Yanga au Azam? Ingia upige kura yako na utoe maoni pia.
Nani kuibuka bingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/2019? Simba, Yanga au Azam? Ingia upige kura yako na utoe maoni pia.
Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.
Tazama msimamo wote hapa baada ya michezo miwili ya katikati mwa juma.
Katika muendelezo wa Ligi Kuu Bara (TPL) Azam fc wakiwa nyumbani katika dimba la Nyamagana baada ya kuuchagua kama uwanja wao wa nyumbani.
Yanga ilifanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati, Kindoki akiibuka shujaa siku hiyo.
Mshambuliaji mrefu na msumbufu mbele ya lango Donald Ndombo Ngoma leo amemwaga wino na kusaini dili jipya .
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam….Stori zaidi.
“wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi”
Endapo kama itatokea, mambo mengi yatabadilika kwa upande wa Azam na Yanga kama vilabu, pia hata kwa kocha mwenyewe.
Tumewaona As Vita, Al Ahly ambao wana asilimia kubwa ya wachezaji wa ndani katika kikosi chao. Azam FC wanatakiwa kutumia kituo chao kuzalisha wachezaji wa ndani ambao watakuwa na msaada kwenye timu yao.