Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Michuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.
Msimu wa 2019/2020 ni msimu wa burudani tele kwa wapenzi wa Kandanda nchini, hizi taarifa umezipokeaje? Tupe maoni yako
OBREY Chirwa alitumia nguvu na akili mara moja tu kati ya dakika 90’ za mchezo wa fainali ya kombe la FA
Kocha wa KMC Etiene Ndairagije huenda wakati wowote akatangazwa na matajiri wa jiji Azam fc kuwa kocha wao mkuu kwenda kuchukua nafasi ya Hans Plujim aliefukuzwa.
Licha ya changamoto ya uwanja lakini kikosi hicho kutoka Iringa kimeweza kuifanya fainali ‘kuwa fainali’ na walikuwa mbele kwa umiliki wa mchezo kwa muda mwingi jioni hii.
Azam Fc itawakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Shirikisho Afrika
Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.
Ratiba ambayo sio rafiki kwa upande wa Lipuli FC imebidi wafanye hivi ili kuipa umuhimu fainali yao itakayowapa tiketi ya kuwakilisha Tanzania katika michuano ya Afrika.
Kwa matokeo hayo sasa Simba sc inahitaji alama nane ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu huu.