Safari ya Yanga, Mikononi mwa Dube
Klabu ya Yanga watakuwa wanamkaribisha Al Hilal katika….Stori zaidi.
Klabu ya Yanga watakuwa wanamkaribisha Al Hilal katika….Stori zaidi.
Naaaam soka hushangaza, soka huduwaza mashabiki hususani matokeo yake. Yanga wanaweweseka.
Kuna usemi usemao ” Simba akikosa nyama hula….Stori zaidi.
Mchezo wa soka ni mchezo wa rekodi, pengine ndio mchezo wenye rekodi nyingi kuliko mchezo wowote ule ulimwenguni. Zipo rekodi zilizowekwa, zipo zinazowekwa na kuna ambazo zitakuja kuwekwa katika siku zijazo.
mwanzo mzuri kwao tofauti na msimu uliopita, hivyo bado Youssouf Dabo na Bruno Ferry
Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi….Stori zaidi.
Kuna tofauti ya kuwa mchezaji wa Azam FC, kisha kuwa mchezaji wa Simba SC na Yanga. Azam FC imeziacha Simba SC Yanga SC katika baadhi ya vitu
Hii haiji kibahati mbaya’ performance’ yake ndiyo siri ya hili jambo kama ambavyo kinyume
Ni uvumilivu wa Gamondi ama jeuri ya Robertinho? Ni mizimu ya Maradona ama malaika wa Pele?
Mambo ya msingi wanayafanya kiushikaji kitu ambacho kinaharibu hata hadhi ya Ligi kuu,