Sio tu Kufuzu Lakini Tumeionyesha Afrika Rangi Nne!
Mada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
Mada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
Stars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
Mwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
Michezo miwili iliyobaki ya Tanzania ni ule wa nyumbani unaofwata dhidi ya Niger na wa mwisho ugenini dhidi ya vinara Algeria ambao wameshafuzu.
blind passes) zilikuwa nyingi na madhara yake ikawa ni kupoteza umiliki wa mpira (possession) bila sababu ya msingi
Dismas Kelvin John, Ben Stakie, Haji Mnoga na wengineo wakibadilishana uzoefu na nahodha Mbwana Samatta pamoja na Simon Msuva naamini hatuwezi kupoteza point zote 3.
Mchezo utakua mzuri tunacheza na timu ngumu lakini pia nasisi ni washindani hivyo haitakua rahisi na hautakua mchezo mwepesi.
Kesho twendeni uwanjani tukashangilie timu yetu, hata kama itatokea bahati mbaya tumefungwa itakua ni sehemu ya mchezo maana wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili.
Mimi naamini kwa timu yetu nzima naamini kwa uzoefu wa nahodha wetu Mbwana Samatta na wenzake wengi wanaocheza ndani na nje ya nchi.
Niacheni nionekane muoga tu lakini akili yangu inampitisha moja kwa moja Algeria kuchukua nafasi moja wapo kati ya hizo mbili.