Sambaza....

Klabu ya Simba imejizolea alama 127 katika michezo 51 yote ya ligi kuu msimu 2o18/19 na 2019/20 iliyochezwa kwa mwaka 2019. Ikiwa kama ligi ingekuwa ikichezwa Januari-Disemba kwa mwaka basi leo hii Tungewatangaza Simba SC ndio mabingwa wa Ligi Kuu kwa kukusanya Alama 127.

Mtandao wa Kandanda hukusanya matokeo ya mechi zote na wafungaji wake, kwa msusanyiko huo tumekuandalia mkusanyiko wa takwimu za Ligi Kuu kwa mwaka huu michezo yote kama unavyoona katika jedwali hapo chini.

PosTimuPWDLFAPts
11289228822667304
212887301125277291
3128722828209107244
4128464339143132181
5128443846103116170

Yanga wameaachwa kwa alama 17 kwa mujibu wa ripoti hii, Klabu ya Lipuli ikiwa shika pia nafasi ya Tano katika kukusanya alama nyingi zaidi.

Ipi timu bora kwako kati ya hizi?

[poll id=”4″]

Sambaza....