Sambaza....

Klabu ya Singida United imetangaza Rasmi kuachana na aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Dragan Popadic, Singida united imesema Kwasasa kikosi hicho kitakua chini ya Kocha Fred Felix Minziro Baba Isaya.

Popadic amekuwa mara kwa mara akilalamikia ukata katika klabu hiyo ukiachilia mbali waamuzi wa Ligi Kuu. Anaicha Singida ikiwa inasua sua katika matokeo ya ligi kuu.

Sambaza....