Udhaifu wa Zahera kiufundi huu hapa.
Zahera ameshaondolewa kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake jangwani.
Zahera ameshaondolewa kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake jangwani.
Mapinduzi alijibadili mara tatu kimajukumu, kwanza alikuwa beki wa kulia, Yanga inaposhambuliwa, na haya ndiyo yaliyokuwa majukumu yake ya msingi, Jukumu la pili ni kucheza kama
Mpwa ngoja nikushike sikio kabla hujaanza kusoma, ukiwa mchezoni jua hadi kipa ana nafasi ya kufunga? Chukua hiyo kwanza, sasa makumi 9 yangeleta bao 3?
“wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi”
Ilikuwa ngumu kwa Yanga kupita katikati ya uwanja kwa sababu eneo hili ni bora sana kwa Simba hivo isingewapa nafasi Yanga kufanya vyema kupitia katikati.
Tangu mwaka 1965, Simba na Yanga wamecheza mechi 101, Yanga akishinda michezo 36, sare 35 na kufungwa mechi 30. Simba akishinda michezo 30, akitoa sare mara 36 na kupoteza michezo 36. Yanga imejikusanyia alama 143 huku Simba ikijikusanyia pointi 125 katika michezo yote 101 waliyokutana, je Simba kupunguza “gap” la alama au Yanga kupanua gap hilo? tukutane taifa.
Yanga inashiriki kombe la Mapinduzi, Makapu amekuwa akikosa mechi nyingi za Ligi Kuu.
Soma maelezo ya kila mchezaji tuliyempendekeza, upige kura kumchagua nani ni bora zaidi.
MABINGWA mara 27 wa kihistoria wa ligi kuu….Stori zaidi.
GOLIKIPA namba moja wa Yanga SC, Beno Kakolanya….Stori zaidi.