Che Fondoh Malone
Malone ni mchezaji bora wa Ligi ya Cameroon akitoka kutwaa tuzo hiyo Ijumaa ya wiki iliyopita anaejulikana kwa jina la utani “Ukuta we Jeriko” anakwenda kuungana na Kenedy Juma, Nasoro Kapama na Inonga Baka katika eneo la mlinzi wa kati.