Niliwahi kusema na ninarudia kusema tabia za kwenye soka zinafanana Dunia nzima
Kifupi waweza kusema ni tamaduni za Industrial nzima kuepuka hili ni kuwa nje ya fani hii.
Maana yake hata ule uvivu wa kufua socks kama moja ya janga la Wachezaji basi ni kote tena wenzetu hawafui kwa mikono Ha ha ha.
Kumekuwa na malalamiko mengi ya uteuzi wa timu ya Taifa ,kwamba kwa nchini kwetu kuna Wachezaji wanatoka vilabu vikubwa lakini hawatumikishwi inakuaje waitwe?
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa soka utakubaliana nani angalia kwa ufasaha hapa kuna majina ya Wachezaji wanaokosa nafasi kwenye timu zao lakini humu wao .