Sambaza....

Klabu ya Simba imeshindwa kutwaa taji la Mapinduzi baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar.

Baada ya mpira kumalizika, Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba Sc, Mo Dewji ametangaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amejiuzulu nafasi yake ya Mwenyekiti na atabaki kuwa Mwekezaji tu.

Magoli (Kulia) wakati wa mechi dhidi ya TP Mazembe, Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2019.

It’s a pity simba couldn’t win. After paying salaries of close to 4 billion a year. I resign as the chair of the board and will remain as an investor. Simba Nguvu moja. I will focus on developing infrastructure and a youth academy!


-Ameandika hiyo akimaaanisha..

Ni aibu Simba imeshindwa kushinda. Baada ya kulipa mishahara inayofikia bilioni 4 kwa mwaka. Najiuzulu kama mwenyekiti wa bodi na ntabakia kuwa mwekezaji. Simba Nguvu Moja. Nitaweka nguvu zaidi katika kutengeneza miundombinu ya soka la vijana.

Uchambuzi zaidi utafuata…0

Sambaza....