Balaa la GSM lianzidi kuonekana, limesajili wachezaji wapya ndani ya kikosi cha Yanga ili kukiimarisha kikosi cha klabu hiyo kubwa barani Afrika. Leo hii tena GSM wamefanya balaa jingine jipya.
Baada ya Andrew Vincent “Dante” kuwagomea Yanga kwa muda mrefu akidai ada ya uhamisho ya thamani ya milioni 50, lakini Leo hii rasmi Andrew Vincent “Dante” Amerudi kwenye kikosi cha Yanga Baada ya haki zake zote kukamilika.