Live
2 - 04:00 pm
Simba SC
Tanzania Prisons
Simba anaingia uwanjani akiwa na uongozi wa ligi lakini pia akitaka kuongeza point Kati yake na Yanga. Prisons ya Mbeya wamepania Kumaliza Ligi Wakiwa nafasi tano za juu. Hali ya mvua huenda Ikawa faida kwao.
Matokeo
Timu | Kipindi cha Kwanza | Kipindi cha Pili | Magoli |
---|---|---|---|
Simba SC | 1 | 1 | 2 |
Tanzania Prisons | 0 | 0 | 0 |
Uwanja
National Stadium |
---|