Sambaza....

Gift alisaini na kikosi cha Wananchi kama mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na SC Villa mwezi uliopita. Pia amekuwa kwenye rada za vilabu kadhaa hasa vya Uganda (Vipers SC na Kitara FC) na Afrika Kusini.

Name
Gift Fred
Utaifa
ugaUganda
Nafasi
Mlinzi
Sasa
Yanga SC
Ligi
TPL
Misimu
2023-2024

TPL

MsimuTimu
2023-2024Yanga SC0000000
Jumla-0000000

Sambaza....