
Lipuli FC moja ya timu kongwe nchini, maskani yake ni katika mji wa Iringa. Haijawahi kuchukua taji la Ligi Kuu Tanzania. Mafanikio makubwa katika msimu wa 2018/2019 ni kkufika hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la soka la Tanzania, ikafungwa na Azam FC.