Sambaza....

Kocha wa Mtibwa Sugar Zuberi Katwila akizungumzia mchezo wa Kesho wa ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons pamoja na malengo yao kwa msimu wa 2018/2019.

Mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mtibwa Sugar utafanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.

Sambaza....