
Tabiri matokeo katika sehemu ya maoni ya mechi hii ya Simba ugenini. Mtu wa kwanza kupatia kabla ya mchezo kuanza atajipatia tiketi ya VIP B mechi ya Simba SC vs AS V.Club na Jezi ya Klabu ya Simba kutoka tovuti yako pendwa ya kandanda.co.tz. Anza sasa…