Sambaza....

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Rais wa TFF,Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Celestine Mwesigwa wamekubali kulipa faini baada ya kuhukumiwa kwenda Jela miaka 2 au faini.

Sambaza....