
Ligi Kuu Tanzania bara, inayodhaminiwa na NBC inaelekea ukingoni. Mtandao huu unawakaribisha washabiki wa kandanda kupendekeza mchezaji ambaye ni bora zaidi katika msimu 2021/2022.
Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.
Mchezaji atakayezungumziwa zaidi katika sehemu ya maoni hapa ataibuka kama “Best Footballer by Fans”