Iwe Kitaifa au Kimataifa atatoboaa!
Na Simba wakapata fedha nyingi kwa mauzo yake endapo atashine na kuhitajika kwenye timu nyingine
Na Simba wakapata fedha nyingi kwa mauzo yake endapo atashine na kuhitajika kwenye timu nyingine
Kiungo huyo amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu na sasa atakua akitonekana katika Ligi Kuu ya nchini Ubelgiji maarufu kama Jupiter Pro League.
Bwalya alijiunga na Simba Agosti 2020 akitokea Power Dynamos ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mawinga wa sasa hawakai ukingoni mwa uwanja muda mwingi wanacheza kama viungo wa kati na kukimbilia kwenye box ili kufunga moja kwa moja kitu ambacho yeye hakifanyi.
Nafasi anazozimudu ni zote za mstari wa mbele lakini ni mtamu zaidi akicheza 7,8 10 na 11kifupi ni’ Attacking midfielder
Mchakato wa mchujo unaendelea na tunategemea utakamilika ndani ya wiki mbili zijazo
Kama kuna klabu yoyote inayoongea na Mpole kwasasa ili kutaka kumsajili wanafanya makosa kisheria kwasababu Mpole ana mkataba.
Kumekuwepo na tetesi zinazomuhusisha Benard Morrison kurejea klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliitumikia kabla ya kujiunga na Simba.
Kwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca
Uwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.