Michuano ya AFCON yasogezwa mbele kupisha Ramadhan.
Wakati huohuo CAFimethibitisha kuwa Droo yakupanga makundi kwa timu zitakazoshiriki itapangwa April 12 mwaka.
Wakati huohuo CAFimethibitisha kuwa Droo yakupanga makundi kwa timu zitakazoshiriki itapangwa April 12 mwaka.
Kuelekea mchezo wao wa marejeano wa Caf Confederation Cup dhidi ya KCCA FC ya Uganda kesho Jumamosi, nahodha wa Mtibwa Sugar FC, Shaaban Nditti amekiri watalazimika kucheza ‘kufa na kupona’ ili kupindua matokeo ya 3-0 na kufuzu kwa hatua ya mwisho kuwania nafasi ya kufuzu kwa hatua ya makundi.
Mabingwa wa soka nchini Simba Sports Club wameanza….Stori zaidi.
Kiungo mshambulizi wa Mtibwa Sugar FC, Haroun Chanongo amesema wanafahamu wanakabiliwa na kazi kubwa dhidi ya KCCA FC katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Caf Confederations Cup.
Kocha wa makipa wa timu ya soka ya….Stori zaidi.
Wakata miwa wa Mtibwa Sugar wameendeleza ubabe wao….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imewashukuru watanzania….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ‘WanaTam Tam’….Stori zaidi.
Miaka 14 imepita bila wao kufuzu kucheza mechi….Stori zaidi.
Baada ya miaka 14 Mtibwa Sugar inatarajiwa kurejea….Stori zaidi.