Micho awatamani wapinzani wa Simba!
Alipowasiliana na Fast Post, Sredojevic alitoa ujumbe wa siri kwa kusema kwamba moyo wake, nafsi na akili yake viko kwa Pirates
Alipowasiliana na Fast Post, Sredojevic alitoa ujumbe wa siri kwa kusema kwamba moyo wake, nafsi na akili yake viko kwa Pirates
Pia inaleta hofu kubwa kuelekea Afrika Kusini, tunajua kuna uhalifu mkubwa na tunaelewa changamoto zinazowakabili wananchi wa Afrika Kusini kwa sasa hivyo unaanza kuhoji aina ya mapokezi ambayo unaweza kupata
Kanoute amekua akijenga “partenership” nzuri na Jonas Mkude si tu katika michuano ya CAF lakini pia hata katika michezo ya NBC Premier League.
Simba anapaswa kijiandaa vyema kukabiliana na mpinzani wenye sifa ya kushinda au kulazimisha sare ugenini ile imani ya kwa Mkapa hatoki mtu isiwe sababu ya msingi.
Twenzetu kwa Mkapa tukaendee kuziishi ndoto zetu ambazo Simba wanazifanya kuwa kweli, twende kwa Mkapa tukaone tamu na chungu.
Ninachojua ni kwamba Pirates itafuzu kwa nusu fainali baada ya mikondo miwili. Ingekuwa hatari kama Pirates wangecheza Johannesburg kwanza.
Kifupi nao ni ‘washamba’ kama si wageni na njia naamini ni nafasi ya Simba kusonga mbele kama watakuwa na matumizi mazuri Estadio de Mkapa hiyo April 14.
Wekundu wa msimbazi wana’ Lunyasi’ leo watakuwa ugenini kupeperusha bendera ya nchi kama ilivyo kawaida yao
Mambo yanaendelea kupamba moto katika jiji la Mwanza.
KMC Waliacha gap katikati lililotumiwa vyema na AS Kigali na kuandika goli. Hii kitaalamu linaitwa POSITIONAL DESCIPLINE.