Simba Wamefeli Hawastahili Pongezi Zozote.
Simba wakubali ukweli kwamba wametolewa na hawajafikia lengo lao na si kutumia kivuli chakusema wamejitahidi ama wamekufa kiume.
Simba wakubali ukweli kwamba wametolewa na hawajafikia lengo lao na si kutumia kivuli chakusema wamejitahidi ama wamekufa kiume.
Wachezaji wote wako vizuri na wanajituma mazoezini na kwa pamoja tunajua bado hatujafuzu tunahitaji matokeo mazuri kesho ili tuweze kwenda hatua inayofuata,
Safari ya Wekundu wa Msimbazi Simba katika Ligi ya Mabingwa imeishia rasmi mbele ya mabingwa watetezi Wydad Casablanca baada yakuondoshwa kwa mikwaju ya penati 4-3.
Ni wazi Wanasimba wanategemea wachezaji wap kurudia kile kilichotokea miaka 20 nyuma yaani mwaka 2003 ambapo Mnyama alimtoa Zamalek ambae alikua bingwa mtetezi tena katika ardhi ya nyumbani kwake Misri
Nae kiungo wa pembeni wa Simba Pape Osmane Sakho akiongea kwa niaba ya wachezaji wa Simba amesema wao kama wachezaji wapo tayari kupambana ili kutimiza ndoto yakufuzu nusu fainali.
Awali timu hiyo ilikua katika wakati mgumu wakifedha na kupelekea kuwa na hatihati yakuwahi kuanza safari yakuja nchini na kupelekea kocha wao kukiri
Hapa ndiyo nafasi ya “Video analysist” wa timu inapokuja, najua mpira wa Africa unachezwa kwa mbinu zaidi na fitna za Kidunia za nje ya Uwanja.
Namna nzuri ya kuhamasisha wachezaji na viongozi wetu ni kununua tiketi mapema, uwanja ukijaa mapema hata wachezaji wanapata morali,
Licha ya kupata ushindi mwembamba nyumbani lakini tayari Simba wameshasema watarudia ya miaka 20 nyuma walipowatoa Zamalek ya Misri
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikamilika bila timu yoyote kupata goli na ikamlazimu kocha wa Yanga sc kufanya mabadiliko mwanzoni tu mwa kipindi cha pili