Hesabu za kuipeleka Simba robo fainali.
Simba inatakiwa kukusanya alama zote 6 kutoka kwao kutokana na ukongwe wao Africa
Simba inatakiwa kukusanya alama zote 6 kutoka kwao kutokana na ukongwe wao Africa
Simba walishinda kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, Mabao yaliyofungwa na Emmanuel Okwi na Meddie Kagere.
Ulimwengu alijikuta anateseka tangu anakanyaga nyasi za uwanja wa Taifa.
Popadic aliiwezesha Simba kutwaa mataji saba kati ya mwaka 1994 na 1996,
Katika magoli yote 12 ya Simba katika michuano hii, magoli 7 yamefungwa na washambuliaji ikiwa ni asilimia 58.3, na magoli 5 yametiwa kimyani na viungo, hii ni sawa na asilimia 41.7.
Simba sc ni kama imepata msaidizi wa Chama ndani ya uwanja.
Deo munishi amekua na kiwango cha kusikitisha haswa katika mchezo wa FA dhidi ya Mashujaa
Misri iliomba uwenyeji sambasamba na Afrika Kusini mara tu baada ya Cameroon kupokonywa
Akiwa na uzoefu mkubwa haswa kutoka kwenye timu ya Taifa ya Uganda.
Nyoni anaendelea na vipimo leo hapa Dar es Salaam na taarifa zaidi itatolewa kesho na Msemaji wa Klabu