Mambo matano mapya mechi ya Simba SC dhidi ya AFC Leopard.
Si tukio la kawaida sana katika soka lakini limejitokeza katika mechi ya Simba na Leopard. Chama alizozana na mwamuzi baada Mzamiru Yasin kumfanyia rafu mchezaji wa Leopard,
Si tukio la kawaida sana katika soka lakini limejitokeza katika mechi ya Simba na Leopard. Chama alizozana na mwamuzi baada Mzamiru Yasin kumfanyia rafu mchezaji wa Leopard,
Vita ya kuwania kucheza na Everton imekua ngumu na kuhamia kati ya nchi na nchi.
Zana Coulibaly leo alikua kwenye kiwango kizuri na kuwavutia mashabiki waliojitokeza uwanjani.
Mabao ya Simba katika mchezo huo yamepatikana kupitia kwa Emmanuel Okwi na Cletous Chama, na sasa Simba wamekata tiketi ya kucheza nusu fainali na Bandari FC waliowatoa Singida United.
Boma FC iliyopo kundi B katika ligi daraja la kwanza inashika nafasi ya pili ikiwa na jumla ya alama 21 nyuma ya vinara Geita wenye alama 23
Leo Simba itacheza kwenye Sportpesa Cup , atasimama kama mmoja ya wawakilishi wawili waliobaki kwenye michuano hii ya Sportpesa Cup.
Simba sc kuelekea mchezo wa kesho itawakosa wachezaji wake kutokana na sababu mbalimbali.
Kariobangi wamekata tiketi ya kucheza nusu fainali baada ya kuwachapa Yanga kwa mabao 3-2 leo kwenye uwanja wa Taifa katika michuano ya SportPesa Cup.
Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.
Yanga imetolewa kwenye michuano ya Sportpesa Cup.