Raha ya Goli la Mbali
Mpwa wenu nawapa Taifa stars 75% kufuzu makundi, ila tujitokeze kwa wingi “kuanikiza” ushindi siku ya Jumapili.
Mpwa wenu nawapa Taifa stars 75% kufuzu makundi, ila tujitokeze kwa wingi “kuanikiza” ushindi siku ya Jumapili.
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Kwenye michuano ya msimu huu, Simba wameondoshwa kwenye hatua ya awali dhidi ya UD Songo ya Msumbiji kwa goli la ugenini
Leo anamtihani mzito dhidi ya timu yake ya nyumbani
Mpira wa Afrika una mambo mengi, hivi ndivyo walivyotaka Taifa Stars ibanane ndani ya basi hili.
Tanzania itacheza leo dhidi ya Burundi na kauli mbiu hii kama imeshapuuziwa na Burundi, basi ilete maana sasa ndani ya uwanja zaidi.
Kwa upande wa Taifa Stars, wao wapo tayari nnje na ndani ya uwanja pia. Tayari kabisa kwa mchezo wa leo.
KMC Waliacha gap katikati lililotumiwa vyema na AS Kigali na kuandika goli. Hii kitaalamu linaitwa POSITIONAL DESCIPLINE.
Tanzania inawakilishwa na vilabu vinne mwaka huu. Vilabu hivo ni Simba na Yanga vitakavyocheza katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
“Mara ya mwisho kuja hapa tulishangiliwa na mashabiki wengi sana hapa, najua watakuwepo tena katika mechi ya leo”.