Mkude tayari kuifwata Yanga!
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Katika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Simba pekee ndio wanaoshikilia rekodi hiyo ya “Comeback” ya nguvu mpaka sasa katika michuano hiyo.
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Baada ya kufanikiwa kuwaondosha Burundi katika hatua ya awali sasa Tanzania inasubiri upangwaji wa makundi ili kuweza kuanza safari ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar.
Mgalatia Francis J. Lumeya, shabiki wa kandanda, anaangazia kwa maoni yake kile anachoamini kuwa kiliifanya klabu ya Simba ishindwe kushinda mchezo wa Jana. Kombe la Mapinduzi ni la kwanza kila mwaka Tanzania.
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi…..Stori zaidi.
Jana kulikuwa na nusu fainali ya kombe la….Stori zaidi.
Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada….Stori zaidi.
Baada ya Jana kushuhudia Yanga wakishinda goli 4-0….Stori zaidi.