Chelsea na ugeni wakati wa kwenda na kurudi tena.
Tuchel na vijana wake watalazimika kujilaumu sana sana kutokubadilisha mbinu mara baada ya mabadiliko ya Camavinga ambaye aliongeza kitu kikubwa uwanjani.
Tuchel na vijana wake watalazimika kujilaumu sana sana kutokubadilisha mbinu mara baada ya mabadiliko ya Camavinga ambaye aliongeza kitu kikubwa uwanjani.
mabao 13 kati ya Mane yametoka katika hatua ya mtoano, ambayo ni zaidi ya Lionel Messi tangu kuanza kwa msimu wa 2017-18.
Ninachojua ni kwamba Pirates itafuzu kwa nusu fainali baada ya mikondo miwili. Ingekuwa hatari kama Pirates wangecheza Johannesburg kwanza.
Kifupi nao ni ‘washamba’ kama si wageni na njia naamini ni nafasi ya Simba kusonga mbele kama watakuwa na matumizi mazuri Estadio de Mkapa hiyo April 14.
Wekundu wa msimbazi wana’ Lunyasi’ leo watakuwa ugenini kupeperusha bendera ya nchi kama ilivyo kawaida yao
Leo tunasubiri kuona mechi ya kombe la shirikisho la CAF kati ya wenyeji Simba vs RS Berkane Estadio De Mkapa.
Endapo hatofikia malengo na kushindwa tutaangalia ameshindwaje, tumempa mkataba wa miaka miwili lakini tutaangalia kwanza mwaka wa kwanza utakwendaje.
Timu hii imewahi kumsajili mchezaji toka Tanzania Boniface Nyagawa toka Mbeya kwanza ambaye baadaye alitimukia kwa wapinzani wao Ngaya Fc
Tutafanya kila jitihada kuhakikisha tunashida. Wachezaji 20 wapo tayari kwa mchezo.
Yeye ni aina ya Meneja ambaye haogopi chochote. Yeye ni kama Zlatan. Haogopi bosi wa Klabu, Wacheza, Wanahabari. Kitu pekee anachokuwa akiogopa ni