Chama cha Soka Afrika Kusini waishtaki Simba CAF.
Na ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Na ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Hizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Sio bahati walijipanga, ni kwasababu bajeti yao wakati msimu unaanza ilikuwa ni shilingi bilioni 23.1
Kwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Na matumaini macho yetu hayata boreka kwa mchezo huu. Itakua ni “Classic Game”.
Tunahitaji kuboresha ufungaji wetu, lakini tuna uhakika katika uwezo wetu wa kusonga mbele.
CAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Msimu wa tatu tunaishia robo fainali inaumiza lakini kwa upande mwingine inatia matumaini na faraja kwamba tunamaintain ubora wetu
Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Umemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??