Simba na Yanga kurudi tena uwanjani March
Baada ya raundi hiyo ya nne kumalizika washindi wote watakaopata ushindi na kuvuka watakutana robo fainali ya michuano hiyo
Baada ya raundi hiyo ya nne kumalizika washindi wote watakaopata ushindi na kuvuka watakutana robo fainali ya michuano hiyo
Tumepata baraka zote kutoka kwa wadhamini wetu wakuu M-bet ambao ndio wana haki yakukaa mbele kifuani. Sisi sio madalali hatuwezi kuuza eneo mara mbili.
Michezo yote sita (miwili ya ndani) ni muhimu kwa Simba katika kuamua mbio zao za ubingwa dhidi ya Yanga lakini pia michezo mitatu ya Kundi D itaamua kama watafuzu tena na kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Baadhi ya michezo ya 16 ni pamoja na Simba dhidi ya African Sports, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons na Azam Fc dhidi ya Mapinduzi Fc pia Kagera Sugar atavaana na Mbeya City.
Yanga ina kila sababu yakufanya vyema na kusonga mbele kuelekea hatua ya robo fainali kutokana na timu walizopangiwa nazo
Michezo hiyo mepangwa kupigwa kati ya December tisa na kumi na moja mwaka huu.
Jkt imesheheni nyota kibao waliowahi kucheza Ligi Kuu kama Hassan Kapalata, Seleman Kassim Selembe, Ally Makarani na Maka Edward.
Kuna mtu ananiambia dhamana ya Yanga kusonga mbele….Stori zaidi.
Juma Mgunda kocha wa zamani wa Coastal Union yupo katika nafasi nzuri ya kuivusha Simba na kuipeleka katika hatua ya makundi ya Klabu bingwa Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini.
Njia ya kuelekea Ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1950 ilikuwa ya aina yake.