Wananchi wanashuka dimbani kuifwata Simba.
Klabu ya soka ya Yanga leo jioni itashuka….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Yanga leo jioni itashuka….Stori zaidi.
Goli hilo lilionekana kushangiliwa kwanguvu na mashabiki wa Simba kutokana na ufundo mkubwa uliokua unaonyeshwa na Mohamed Mussa
Mbrazil huo pia amesema kwa kiasi kikubwa watatumia wachezaji ambao wamekua hawapati nafasi katika kikosi cha kwanza kutokana na jinsi ratiba ilivyowabana.
Yanga wanahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi yakufuzu robo fainali kwani kusuasua kwa Mazembe kumezidi kuwapa nafasi katika kundi hilo ambalo US Monastir anaonekana ndio mbabe
Kwenye ligi tayari wana nafasi finyu yakutwaa ubingwa na tayari wameshaachwa alama nane na watani zao Yanga wanaoongoza Ligi.
Ama kwa hakika Simba ana wakati mgumu zaidi kufuzu ukilinganisha na Yanga ingawa kila kitu kinawezekana katika soka.
Katika mchezo huo Inonga na Onyango walicheza dakika zote tisini na kufanikiwa kulinda ngome yao na kumaliza mchezo kwa mara ya kwanza bila nyavu zao kutikiswa
Baada ya mchezo huo sasa Yanga inafikisha alama nne nakuendelea kukaa katika nafasi yake yapili nyuma ya US Monastir wenye alama saba.
Kwa hesabu zozote zile leo Yanga hawapaswi kupoteza mchezo kama itashindikana alama tatu basi angalau wapate alama moja ili kuendelea kuweka hai matumaini yao ya kufuzu robo fainalo
Katika mchezo mwingine wa kundi hilo Raja Casablanca atamkaribisha Horoya kutoka Guinea katika dimba la Mohamed VI mabapo Vipers alisuulubiwa kwa mabao matano kwa sifuri.