Ibenge: Ninafurahia Kucheza Mbele ya Mshabiki Wengi Misri
Ni lazima tushinde kwa goli moja au kwa tofauti ya magoli mawili, na tutapigana hadi dakika ya mwisho ili kupata ushindi.
Ni lazima tushinde kwa goli moja au kwa tofauti ya magoli mawili, na tutapigana hadi dakika ya mwisho ili kupata ushindi.
Kufuatia kipigo hicho kutoka kwa Raja klabu ya Simba sasa imepata ushindi katika michezo mitatu pekee kwenye kundi lao huku ikifunga mabao kumi na kuruhusu mabao saba.
Nae nyota wa Yanga aliyehusika katika magoli mengi zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kenedy Musonda amesema wanajua malengo yao wao kama wachezaji
Mchezo wa kwanza uliopigwa Jijini Dar es salaam Simba walikubali kipigo cha mabao matatu kwa bila mbele ya mashabiki wake na katika mchezo wa leo pia wamekubali kipigo cha mabao matatu kwa moja ugenini katika Jiji la Casablanca.
Kuelekea mchezo huo muhimu kwa Pamba tayari wiki nzima hii kumekua na kampeni kubwa ya kuhamasisha mashabiki wajitokeze kwa wingi ili kuiunga mkono Pamba katika mchezo huo.
Yanga wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere walishuhudia safari yao ikisogezwa mbele zaidi ya mara mbili na mpaka wanaanza safari
Tumejiandaa vizuri japo bado tuna uchovu wa safari lakini kwetu haitakua sababu.
timu kariba ya Raja Casablanca ni dhahiri inaweza kuonyesha ni kwa kiasi gani kikosi cha Simba kina mapungufu ama kimetimia katika maeneo gani haswa wakiwa nyumbani.
Mashabiki wametambua nguvu yao katika mchezo huu na wametambua kuwa hiki ndo kipindi timu yao inawahitaji zaidi Uwanjani.
Ndo maana wamenunua tiketi kwa wingi tena ndani ya muda mfupi.
Kupitia mchezo huo Arafat Haji amesema wanauchukua mchezo wa muhimu kwani wanataka kuionyesha Afrika Yanga ni timu ya aina gani na hawataki kupoteza uongozi wa kundi lao.