Paschal Wawa kuwakosa TP Mazembe.
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo….Stori zaidi.
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo….Stori zaidi.
John Bocco alikosa penati muhimu wakati Simba ilipoikaribisha TP Mazembe jijini Dar es Salaam.
Klabu ya Simba leo imeweka wazi wachezaji 20 wataokwenda Lubumbashi kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya TP Mazembe!
Mfumo huu hutegemea utimamu wa viungo watatu wa kati ili kuleta “fluidity na Flexibility” ya timu . Timu itakuwa na uwezo wa kumiliki mpira, kukaba na kuufikisha mpira eneo wanalotaka.
TP Mazembe chini ya kocha Pamhile Mihayo Kazembe, inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa Linafoot ikiwa na alama 58 wakicheza michezo 23 nyuma ya vinara AS Club Vita wenye alama 65 katika nafasi ya kwanza wakicheza michezo 25.
Barua ya Simba bado haijajibiwa na CAF kuhusu mwamuzi kubadilishwa.
Maamuzi yake kwrnye moja ya mechi yalisababishwa asimamishwe ili kupisha uchunguzi mwishoni mwa mwaka jana.
Waamuzi wote wameondolewa na kuletwa waamuzi wapya kabisa. Mabadiliko ya tija yoyote? tusubirie mchezo tu.
Mchezo uliopita Simba ilitoka sare tasa katika uwanja wa Taifa, ushindi wowote ule ugenini utaipeleka Simba SC hatua inayofuata. Tupe maoni yako.
Tusiwalaumu kabisa. Najua jana John Bocco alikosa nafasi tatu za wazi ikiwemo penati. Nafasi ambazo zinaweza kumgombanisha na mashabiki.