Yanga wanaenda Congo, Simba kwenda Morroco.
Yanga ina kila sababu yakufanya vyema na kusonga mbele kuelekea hatua ya robo fainali kutokana na timu walizopangiwa nazo
Yanga ina kila sababu yakufanya vyema na kusonga mbele kuelekea hatua ya robo fainali kutokana na timu walizopangiwa nazo
Kuna mtu ananiambia dhamana ya Yanga kusonga mbele….Stori zaidi.
Juma Mgunda kocha wa zamani wa Coastal Union yupo katika nafasi nzuri ya kuivusha Simba na kuipeleka katika hatua ya makundi ya Klabu bingwa Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini.
Michezo yote hiyo ya Ligi ya Mabingwa itachezwa kati ya September 9 na 11 na micjezo ya marudiani itapigwa kati ya September 16 na 18 mwaka huu.
Simba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani
Miongoni mwa timu zinazoonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kutinga fainali ni Wydad Casablanca na Al-Ahly.
Sio bahati walijipanga, ni kwasababu bajeti yao wakati msimu unaanza ilikuwa ni shilingi bilioni 23.1
Tunahitaji kuboresha ufungaji wetu, lakini tuna uhakika katika uwezo wetu wa kusonga mbele.
Leo tunasubiri kuona mechi ya kombe la shirikisho la CAF kati ya wenyeji Simba vs RS Berkane Estadio De Mkapa.
Timu hii imewahi kumsajili mchezaji toka Tanzania Boniface Nyagawa toka Mbeya kwanza ambaye baadaye alitimukia kwa wapinzani wao Ngaya Fc