Chama ndio baba lao Afrika, awakimbiza nyota Mamelodi na Al Ahly.
Simba pia imeingia katika rekodi mbovu ya nidhamu kwani mpaka sasa katika michezo mitano wachezaji wake wameonyshwa kadi
Simba pia imeingia katika rekodi mbovu ya nidhamu kwani mpaka sasa katika michezo mitano wachezaji wake wameonyshwa kadi
Neema ya fedha hizo si tu inawakuta Simba na Yanga bali pia Shirikisho la soka nchini TFF wanahusika katika fedha hizo.
Nawapongeza wachezaji wangu kwa kuweza kufuata maelekezo tuliyowapa na kusababisha kupata ushindi huu
Simba sasa wameshafuzu kwenda robo fainali hivyo mchezo wa mwisho wa kundi lao dhidi ya Raja Casablanca ugenini utakua ni wakukamilisha ratiba.
Simba wanapaswa kukumbuka jinsi walivyoifunga AS Vita na kutinga robo fainali mwaka 2019 na kutinga robo fainali wakipita katika kundi lao na Al Ahly.
Aidha pia Ahmed amesema wao hawawezi kuweka kiingilio bure katika mchezo huo kama ambavyo Mamelody Sundowns walifanya dhidi ya Al Ahly
Simba watajilaumu wenyewe kwa kutoka na ushindi mwembamba kwani walitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hawakuzitumia
Pia kocha huo ameongeza wapinzani wake anawajua kwani amewasoma vyema na anajua jinsi ya kuwadhibiti Waganda hao.
Mechi dhidi ya Horoya tulicheza vyema lakini hatukupata matokeo sasa utachagua ucheze vizuri au upate alama tatu
Hatupo tayari kuishia hatua ya makundi. Tulikwenda kuchukua alama tatu kwa Vipers lakini hatujamaliza